Tangazo la kongamano la vijana katika kanisa la Mavuno yauzua mdahalo kwenye mtandao
22nd February, 2014
Tangazo la kongamano la vijana katika kanisa la mavuno lililowekwa asubuhi ya leo kwenye mtandao limetimiza lengo lake. Kwa mujibu wa kiongozi wa vijana katika kanisa hilo Kanjii Mbugua, picha hiyo ilikuwa inastahili kuzua mdahalo ambao umekuwepo siku nzima.