×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kichinjio cha punda chajengwa Naivasha

19th February, 2014

Je mtazamaji unafahamu kuwa nyama ya punda ni halali kisheria na haina madhara yoyote kiafya? Kauli hii ni ya wataalam wa mifugo na wakaguzi wa nyama hata baada ya wengi kujitokeza hii leo kupinga kufunguliwa kwa kichinjio cha punda hapo jana mjini Naivasha . Wengi wa wakenya wametoa maoni yao ya ni kwa nini hawangetaka kuila nyama ya punda .
.
RELATED VIDEOS