Shehena ya dawa ghushi za kuongeza nguvu za kiume zapatikana Nairobi
17th February, 2014
Raia wa Kenya amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta hapa Nairobi kwa kuhusika na kuingiza dawa ghushi za kuongeza nguvu za kiume.Bodi ya dawa na sumu humu nchini imekariri kuwa dawa hizo ambazo thamani yake ni shilingi millioni 44 ni ghushi na huenda zikasababisha madhara mwilini.