×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Misaada bado haijawafikia waathiriwa wa baa la njaa Turkana

17th February, 2014

Wakazi wa Turkana wanaendelea kuathirika na ukame ambao umesababisha ukosefu wa chakula. Ingawa serikali na mashirika mengine yameingilia kati na kutoa chakula kwa wakaazi wa eneo hilo, wengi wa wakaazi wa vijijini hawajaweza kupata chakula kufuatia hali maya ya miundo mbinu .Huku wengi wakijiuliza serikali imechukuwa hatua ipi kuweza kuokoa maisha ya wakenya wengi wanaoathirika na baa la njaa.
.
RELATED VIDEOS