Familia ya mtoto aliyezaliwa na uzani wa kilo saba yaelezea changamoto za malezi yake
17th February, 2014
Mtoto aliyezaliwa akiwa na uzito wa kilo saba Robin van Persie mango hatimaye amepelekwa nyumbani baada ya kuwa hospitalini kwa muda wa siku tano.Jamaa ndugu na marafiki walimkaribisha mtoto huyo kwa shangwe na nderemo mamake akitupa taswira kamaili kuhusu changamoto za malezi anazokabiliana nazo.