×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maswali yaibuka iwapo hela zinazopewa wasiojiweza kujikimu zinawatosha

8th February, 2014

Siku mbili tu baada ya serikali kuongeza pesa za kuwakimu watu wasiojiweza miongoni mwao wazee . Kumeibuka maswali iwapo hela zinazopewa akina nyanya na akina babu kujikimu zinawatosha kulingana na mahitaji yao? Hii ni baada ya kubainika kuwa baadhi ya akina nyanya na babu hao ni walezi walioachiwa wajukuu hii hapa taarifa kuhusu akina nyanya kutoka Nyeri waliofaidi mpango huo na jinsi gani wamepanga kutumia hela zao kila mwezi.
.
RELATED VIDEOS