×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Benki ya cfc stanbic yatoa ufadhili kwa kitengo cha kilimo

5th February, 2014

Benki ya cfc stanbic imetoa ufadhili wa takriban shilingi milioni 2.5 katika kitengo cha kilimo cha tuzo za transform kenya awards 2013 Tuzo hizo ambazo zilianzishwa na shirika la standard group na deloitte kenya zinalenga kuwatambua na kuwatuza wakenya waliojitolewa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii. Hundi hiyo ilikabidhiwa afisa mkuu mtendaji wa shirika la habari la Standard Sam Shollei na afisa mkuu mtendaji wa benki ya cfc stanbic Greg Brackenridge.
.
RELATED VIDEOS