x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakulima walalamikia gharama ya uzalishaji chai na soko duni

29, Jan 2014

Inakisiwa kuwa chai ndio kinywaji maarufu sana hapa Kenya na japo majani chai yanakuzwa katika pembe mbalimbali humu nchini hususan katika maeneo baridi,kiwanda cha chai kinachosaga chai tamu na bora zaidi nchini ni kiwanda cha Gathuthi katika eneo bunge la Tetu katika kaunti ya Nyeri. Chai ya Gathuthi inasifika kwa ubora wake na wakulima zaidi ya 8,000 ambao huvuna majani chai na kuyawasilisha katika kiwanda cha Gathuthi, huzingatia kanuni wanazoagizwa kufuata kuanzia upanzi hadi uvunaji.

RELATED VIDEOS


Feedback