Mwili wafukuliwa kufuatia mzozo wa ardhi
11th January, 2014
Wenyeji wa kijiji cha Kariki eneo la Chinga ,Othaya walipigwa na mshangao hapo jana baada ya mwili uliozikwa miezi miwili iliyopita kufukuliwa . Hii ni baada ya agizo la mahakama kutolewa kufuatia mzozo wa ardhi . Inadaiwa kuwa mchungaji mmoja wa eneo hilo alifika mahakamani akitaka mwili huo ufukuliwe kutoka ile aliyoitaja kama ardhi yake .