×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge wa Jubilee watoa maoni yao kuhusu kushambuliwa kwa Wetangula

11th January, 2014

Wabunge wa mrengo wa jubilee wamemshutumu seneta wa Bungoma Moses Wetangula kwa kile walichokitaja kama kubuni na kueneza uvumi kwamba kuna njama ya kutaka kumuua. Kwa upande wake Wetangula amepuuzilia mbali semi za wanasiasa hao akisema kuwa zimepitwa na wakati pamoja na kuzitaja kama semi za siasa duni
.
RELATED VIDEOS