x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakongwe kutoka eneo la Nyeri waunganana pamoja kuanzisha mradi wa kufuga kuku ili kujikimu kimaisha

09, Jan 2014

Watu ambao wamestaafu hujipata katika maisha mapya wasiyoyazoea na hili huwaathiri kimawazo na hata kifedha. Lakini kundi moja la wakongwe kutoka eneo la Nyeri wameungana pamoja baada ya wao kustaafu na kuanzisha mradi wa kufuga kuku kama njia mojawapo ya wao kujikimu kimaisha .

Feedback