Kuppet yalalamika na kusema waalimu wasiwasilishe vyeti
9th January, 2014
Muungano wa walimu wa sekondari na vyuo kuppet umesema kuwa walimu walio chini ya muungano huo hawatawasilisha vyeti vyao kutoka vyuo vikuu na taasisi za elimu nyenginezo ndiposa walimu hao waweze kupandishwa vyeo.