×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Umuhimu wa jina unalompa mtoto anapo zaliwa

4th January, 2014

Kila mtoto anapozaliwa jambo la kwanza huwa ni kumpa jina.Lakini je unajua maana ya jina ulilopewa? Wengi wamedai kuwa majina anayopewa mtoto huwa na athari maishani mwake kuanzia utotoni hadi anapokuwa mtu mzima.Agnes Penda ametafuta maoni ya wengi kuhusu maana ya majina hasa majina ya ukoo na yale yanayopeanwa kwa kuzingatia tamaduni na kutuandalia taarifa ifuatayo.
.
RELATED VIDEOS