×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vijana wakusanya pembe za ngombe na kutumia kutengeneza shanga ili kujipa riziki

4th January, 2014

Kuna msemo kwamba akili ni nywele na hakuna asiye na zake, maana kwamba mtu akiwa na maarifa hakosi njia ya kujikwamua kutoka hali ngumu maishani.kundi moja la vijana kutoka Nyeri limetafuta njia ya kujipa riziki ya kila siku kutoka kwa bidhaa ambazo wengi hupuuza, pembe za ngombe.wanatumia pembe hizo kutengeneza vitu kama vile shanga na vipuli.tunampisha.
.
RELATED VIDEOS