×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakulima sasa waanika mahindi katika uga wa Kipchoge baada ya ujenzi kusita

4th January, 2014

Mji wa Eldoret unasifika duniani kote kwa kutoa wanariadha stadi.lakini kinyume na sifa hiyo mji huo hauna uwanja kwani uga wa Kipchoge umesalia kama gofu baada ya ujenzi kusita.Wakulima sasa wanatumia uwanja huo kuanika mahindi huku viongozi wakitizama bila kusema lolote.
.
RELATED VIDEOS