×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wazazi wafurika katika maduka ya jumla kununua vitabu na sare za shule

3rd January, 2014

Baada ya sherehe za krismasi na mwaka mpya wazazi wamo mbioni kuwatayarisha wanao kurudi shuleni kwa muhula wa kwanza.Maduka ya jumla ya kuuza vitabu na sare za shule yalishuhudia foleni za wazazi waliojitokeza kununua bidhaa za wanao.Eneo la Pwani wazazi walifurika katika maduka ya wachuuzi kununua vitabu vilivyotumika wakisema hawawezi kugharamia vitabu madukani.
.
RELATED VIDEOS