×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waliorejeshwa kutoka Sudan waandamana wakiitaka serikali kuwapa fedha kuanzisha maisha yao

3rd January, 2014

Mazungumzo yanayolenga kusitisha mapigano nchini Sudan kusini yamekwama jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.serikali ya Sudan kusini inasema muungano wa igad unapaswa kuwapa maelezo muhimu kuhusu kundi wanalojadiliana nalo kabla mazungumzo kuanza.humu nchini wakenya .waliorejeshwa nchini kutoka Sudan kusini wameandamana wakiitaka serikali kuwapa fedha kuanzisha maisha yao upya
.
RELATED VIDEOS