IEBC imesema imejiandaa kwa uchaguzi mdogo wa Nyaribari Chache
28th December, 2013
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini imesema kuwa imejiandaa kuendesha uchaguzi mdogo wa bunge la Nyaribari Chache utakaofanyika tarehe 30 mwezi huu. Vifaa vitakavyotumika kufanyia uchaguzi huo vimewasili na vitasafirishwa hadi vituo vya kupigia kura hapo kesho.