×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

DRC yatia saini mkataba wa amani na wanamgambo wa M23

13th December, 2013

Nchi ya DRC hapo jana ilipiga hatua ya amani humu nchini Kenya ilipokuwa ikiadhimisha miaka 50 ya uhuru. DRC ilitia saini mkataba na kundi la wanamgambo la M23 katika ikulu ya rais jijini Nairobi. Mkataba ambao unatarajiwa kuleta amani katika nchi hiyo baada ya vita kati ya serikali na wanamgambo hao kuhusu rasilmali. Rais wa malawi Joyce Banda na wa Uganda Yoweri Museveni walisifu pande zote mbili kwa kusikizana na kutoa wito wa kujenga nchi hiyo ili isonge mbele.
.
RELATED VIDEOS