Peter Emase Lemuya ashinda mbio za Mau Peace half marathon
9th December, 2013
Mwanariadha Peter Emase Lemuya aliibuka mshidni wa mbio za Mau Peace half marathon. Kampuni ya kuunda simu ya Huawei ndio wadhamini wakuu wa mbio za kila mwaka za Tom Mboya memorial half marathon zitakazoandaliwa Desemba 20 katika kaunti ya Homa Bay.