×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wasichana themanini na wawili wamenusurika ukeketaji huko Masaai Mara

27th November, 2013

Wasichana themanini na wawili kutoka Maasai Mara ambao walitaka kukeketwa na kisha kuozwa wakiwa na umri mdogo wamepata nusura katika shule moja. Mbali na wasichana hao pia wavulana thelathini na watano waliokuwa wakitumika katika kuwapeleka mifugo yao malishoni sasa wana kila sababu ya kutabasamu kwani wanapokea elimu kama watoto wengine.
.
RELATED VIDEOS