Jinsi jinamizi la ukabila lilikita mizizi nchini
24th November, 2013
Ukabila ulikuwepo, umekuwepo na utazidi kuwepo na itachukua miujiza kuuondoa. Wachanganuzi humu nchini wanatueleza jinsi jinamizi hili la ukabila lilikita mizizi. Huku tukielekea kusherekea miaka 50 ya uhuru, je tuna lolote la kusherekea kama nchi? Ndilo swala tunaloangazia katika makala maalum ya miaka 50 ya uhuru.