×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rahaeal Wanjala na mpenziwe Akinyi waachiliwa huru

13th November, 2013

Aliyekuwa mbunge wa Budalangi Raphael Wanjala pamoja na anayesemekana kuwa mpenziwe Joyce Akinyi wameachiliwa baada ya kukaa ndani katika kituo cha polisi cha Muthaiga kwa zaidi ya saa 28. Wawili hawa na wengine watatu walikamatwa jana katika eneo la Isinya katika barabara ya kutoka Nairobi kuelekea Namanga , kwa madai ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Hata hivyo baada ya uchunguzi mchana mzima, ikabainika walichokuwa wamebeba ni unga. Kisa hiki kinawarejesha katika vicha vya habari, Wanjala na Akinyi baada ya ile sakata yao ya kukamatwa nchini India, kwa madai ya ulanguzi wa dawa za kulevya.
.
RELATED VIDEOS