Polisi wakabiliana na majambazi lavington
11th November, 2013
Afisa msimamizi wa kituo cha polisi cha muthangari anauguza majeraha baada ya tukio la ufyatulianaji wa risasi, kisa hiki kiliwaacha wakaazi wa lavington wakishangaazwa makabiliano hayo ambayo yalizimwa na maafisa wa GSU wa kitengo cha recce.