Audrey Mbugua ataka kubadilisha majina rasmi
9th October, 2013
Mawakili wa kikristio wamekubaliwa kujumuishwa katika kesi inayomhusu Audrey Mbugua mwanamme anayetaka kubadili jinsia yake kuwa ya kike. Mawakili hao wametaka kujumuishwa katika kesi ambapo audrey anataka kubadilishwa majina katika stakabadhi zake rasmi kama vile vyeti vyake vya mtihani wa kidato cha nne.