Wakenya 13,000 wametalii Aberdare
3rd October, 2013
Wageni 13,000 wamezuru aberdares msimu huu na shirika la kws linahimiza serikali kukarabati miundo misingi ili kukuza utalii. Carol nderi alikutana na kundi moja la wageni huko aberdares na ametuandalia taarifa ifuatayo.