×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jaji David Majanja kutupilia mbali rufaa ya kupinga ushindi wa Daktari Alfred Mutua

17th September, 2013

Jaji David Majanja ametupilia mbali rufaa ya kupinga ushindi wa Daktari Alfred Mutua kama Gavana wa kaunti ya Machakos .kwenye uamuzi wake jaji majanja amesema kuwa mlalamishi kwenye kesi hiyo, aliyekuwa waziri wa masuala ya vijana Wavinya Ndeti hakutoa ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha madai yake. Ndeti alikuwa ameitaka mahakama kutupilia mbali ushindi wa Mutua akidai kuwa kura zilizopigwa zilizidi idadi ya wapiga kura. Aidha alisema kuwa Mutua aliweka mabango ya picha zake za kampeni kwenye barabara, na njia zilizoelekea katika vituo vya kupigia kura hadi siku ya uchaguzi. Alisema hatua hiyo ilikiuka sheria ya uchaguzi. Hata hivyo jaji majanaja amesema hapakuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai hayo mbali na kumtaka wavinya ndeti kulipa gharama za kesi hiyo
.
RELATED VIDEOS