×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mashindano ya ngamia Samburu

2nd September, 2013

Kwa miaka mingi jamii za wafugaji zimekumbwa na changamoto ya wizi wa mifugo ambao umesababisha mauaji ya wengi. Kutokana na ukosefu wa usalama unaoletwa na wizi wa mifugo, mashindano ya kimataifa ya ngamia yaliandaliwa katika mji wa Maralal ili kuhimiza amani miongoni mwa jamii za kaskazini mwa nchi. Mashindano hayo yalivutia washiriki 27 wa kimataifa. Mary Kilobi ana taarifa kamili.
.
RELATED VIDEOS