Tume ya TJRC yaonya bunge kutobadilisha ripoti hiyo
22nd August, 2013
Tume ya utekelezaji katiba imeonya bunge dhidi ya kujaribu kuleta marekebisho kwenye ripoti maalum iliyoandaliwa na tume na haki, ukweli na maridhiano ya TJRC. Tume hiyo imewataka wale wasiofurahishwa na mapendekezo yaliyotolewa na ripoti hiyo ya TJRC kuelekea mahakamani na kuwasilisha malalamiko yao.