The Mushrooms
17th August, 2013
Embe dodo embe dodo limelala mchangani kwa huba na mazoea uwe wangu wa milelele” ni wimbo wa wawili wawili ambao ukiimbwa tu hukosi kufahamu kuwa ni wa bendi ya them mushrooms. Japo bendi hii ni ya tangu miaka ya sitini, bado wanavuma