×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vera Sidika afafanua maisha yake kama Mhalaki

10th August, 2013

Socialite au mhalaiki ni jina ambalo limetumika kwa miaka mingi kuashiria mwanamke au mwanamume tajiri au mwenye uwezo ambaye hakosi kuandaa sherehe za mara kwa mara na kuwepo katika sherehe mbalimbali kwa minajili ya kuongeza hadhi ya sherehe hiyo. Katika nchi za kigeni haswa, watu hawa hulipwa kuwepo katika hafla zilizoandaliwa na baadhi yao hupewa heshima kuu. Humu nchini hata hivyo, baadhi ya wasichana wamejipa jina hilo socialite kwa misingi ya picha walizoweka kwenye mtandao, video ambazo wanafanya mambo ya ajabu ajabu ambayo wengi wamekashifu. Je, wanawake hawa wamepoteza maana ya socialite au hawaijui kabisa? Mashirima kapombe anaarifu.
.
RELATED VIDEOS