Kitoeo maarufu cha mbuzi wa Koriema
12th July, 2013
Je ushawahi kupika nyama ya mbuzi bila kuitia chumvi, na ikalika? Wenyeji wa koriema kaunti ya baringo, kwao hili ni kawaida, kwani mbuzi wa eneo hilo wana chumvi ya kutosha huhitaji kuongeza, hata pale unapokula nyama choma