Wanafunzi waacha shule kwa uja uzito Mt Elgon
11th July, 2013
Na tukisalia na mada hiyo hiyo ya mimba za mapema, mary kilobi alipiga kambi huko mlima elgon na kutuandalia taarifa inayotia wengi wasiwasi- wanafunzi wa kike wametoroka nyumbani kwao na pia kuacha shule kutoka na ongezeko la visa vya kupachikwa mimba mapema. Je vita vilivyokithiri vilivyoendeshwa na sldf vilichangia?