×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mpenzi wa Bibi wa Tuju, Tony Ogunda afariki

2nd July, 2013

Mwanamume aliyeshtumiwa kuhusika kimapenzi na mkewe aliyekuwa waziri Raphael Tuju amepatikana amefariki. Maafisa wa polisi wanasema kuwa mwili wa tony ogunda ulipatikana katika nyumba moja iliyopo katika eneo la Upper Hill hapa Nairobi. Rafikiye amewaeleza polisi kuwa Ogunda alikuwa katika mkahawa mmoja eneo la River Road usiku wa kuamkia leo ,kabla ya kwenda kwake. Mkuu wa polisi eneo la nairobi Benson Kibui amekitaja kifo chake kuwa cha ghafla.
.
RELATED VIDEOS