Hifadhi ya wanyama ya Ol-pejeta
28th June, 2013
Hifadhi ya wanyama ya ol-pejeta huko laikipia imeamua kuanzisha mradi wa ujenzi wa nyumba zitakazotumika kuchangisha pesa za kwa hifadhi hiyo. Wamiliki wa nyumba hizo zitakazopakana na hifadhi hiyo watapata mandhari safi ya mlima kenya na aberdares.