×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Balozi wa Slovakia azuru Standard Group

13th June, 2013

Taifa la Kenya huenda likasaidika pakubwa kufuatia uwekezaji kutoka kwa taifa la Slovakia humu nchini kama njia moja ya kuimarisha uchumi wa Kenya. katika ziara yake katika shirika la habari la Standard alasiri ya leo, balozi wa Slovakia humu nchini Michal Mlynar amesema kuwa wameanzisha kampuni ya kusaga plastiki na kutengeneza bidhaa mbalimbali ikiwemo kawi, mjini kisumu inayotarajiwa kutoa ajira kwa zaidi ya wakenya elfu mbili.
.
RELATED VIDEOS