President Uhuru Kenyatta warns Civil Servants against Corruption (In Swahili)
12th June, 2013
Rais Uhuru Kenyatta ametoa onyo kali kwa wafanyikazi wote wa umma kujiweka mbali na visa vya ufisadi akisema kuwa wakipatikana watapigwa kalamu au hata kufungwa. Na kama anavyoripoti Mohammed Mahmoud changamoto kwa Kenyatta ni kuhakikisha anasema na kutenda, kwani onyo lake si geni, watangulizi wake pia walikuwa na maneno makali kuhusiana na vita dhidi ya ufisadi.