×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Buriani kwa Bi Kidude

17th April, 2013

Gwiji na mkongwe wa nyimbo za taarab na za unyagoni Fatuma Binti Baraka maarufu kama Bi Kidude ameaga dunia hii leo . Bi Kidude ambaye licha ya umri wake mkubwa alikuwa bado akiendelea kushiriki kwenye tamasha mbalimbali za muziki alifariki hii leo nyumbani kwake katika kijiji cha Raha Leo, kisiwani Zanzibar. Mwanahabari Saida Swaleh na mengi kuhusu safari ya mutribu huyo aliyejizolea sifa tele afrika mashariki na kote ulimwenguni.
.
RELATED VIDEOS