×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rachel Ruto azuru Nyeri

5th April, 2013

Wanawake zaidi ya mia moja wamezuru kaunti ya nyeri kwa nia ya kujifahamisha zaidi kuhusu ufugaji wa kuku biashara itakayowawezesha kina mama hao kujisimamia kifedha.bi rachel ruto, mkewe naibu rais william ruto aliandamana na kina mama hao kutoka nandi, uasin gishu, kakamega na transzoia hadi kiwanda kikubwa zaidi cha kuku nyeri cha bradegate.carol nderi na taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS