×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mauaji Ikolomani

13th February, 2013

Kijiji kimoja kaunti ya kakamega kimegubikwa na huzuni na mshtuko baada jamaa mmoja kuwaua watoto wake 3, kumjeruhi mkewe na kisha kujiua.kiwingu cheusi kulitanda katika kijiji cha irichero eneo bunge la ikolomani, baada ya wenyeji kuamkia taarifa hizo za kuhuzunisha za mauaji ya watoto hao mmoja akiwa malaika wa miezi 2 unusu. Inadaiwa bwana huyo aliacha notisi iliosema kwamba alikua ameathirika na ukimwi na hakutaka familia yake iteseke atakapofariki.
.
RELATED VIDEOS