×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

News: Mtoto aliyetekwa nyara aokolewa

1st February, 2013

Visa vya utekaji nyara vinaendelea kuripotiwa kila uchao kote nchini ambapo huko kitengela viungani mwa jiji la nairobi, polisi wamemuokoa mvulana wa miaka 2 kutoka mikononi mwa majangili waliomteka nyara nyakati za mchana.kijana huyo alitekwa nyara walipokua na kijakazi wao wa nyumbani katika matembezi hapo juzi. Polisi iliweza kuwakamata washukiwa hao ambao walikua pamoja na kijakazi huyo ambaye alitengeza mpango huo.
.
RELATED VIDEOS