News : Waumini wakosa ibada baada ya viongozi kuzozana
25th November, 2012
Ibada ya Jumapili katika kanisa la African Independent Pentecostal Church (AIPCA) kimende ilikatizwa kwa muda kufuatia tofauti zilizozuka kutokana na uchaguzi wa viongozi wapya. Jambo lililopelekea waumini wengi kutoruhusiwa kuingia kanisani humo.
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv