×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule ya Maranda yafungwa baada ya moto mwingine

20th September, 2012

Shule ya upili ya maranda imefungwa na wanafunzi wake kuruhusiwa kwenda nyumbani baada ya moto kuchoma bweni katika shule hiyo kwa mara ya pili wiki hii.moto huo wa mapema leo ulitokea mwendo wa saa kumi na moja asubuhi wakati wanafunzi walipokuwa madarasani wakijisomea kufuatia mgomo wa waalimu . Ni hali iliyozua wasiwasi miongoni mwa wazazi wa wanafunzi wa shule hiyo hasa baada ya kubainika kuwa moto wa leo uliwashwa kimakusudi na watu wasiojulikana waliojifanya kuwa wanafunzi wa shule hiyo inayofahamika kwa kuwa bora zaidi katika mtihani wa kitaifa.
.
RELATED VIDEOS