×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hisia za Ujerumani kuhusu washukiwa wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu

20th August, 2012

Serikali ya Ujerumani imepaaza hisia zake kuhusiana na hatma ya washukiwa wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu. Hii ni kufuatia hatua ya washukiwa 2 wakuu katika mahakama ya ICC kuwepo katika kinyanganyiro cha urais mwakani. Wakizungumza huko Naivasha,mawaziri wa serikali ya Ujerumani wamesisitiza kwamba ni sharti washukiwa wote waangukiwe na mkono wa sheria. ali manzu anaarifu zaidi.
.
RELATED VIDEOS