×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Junaa la NHIF

9th August, 2012

Kaimu afisa mkuu mtendaji wa nhif Adan Adan amekana madai ya kuhusishwa na ajira ya jamaa zake akiwemo mkewe. Katika taarifa kwa vyombo vya habari alitaja shinikizo kutoka nje kuwa mwanzo wa njama ya kutibua usimamizi huo ulioteuliwa baada ya ule wa kwanza kuondolewa kwa madai ya ufujaji wa fedha. Wakati huo huo aliyekuwa afisa mtendaji wa NHIF Richard Rerich leo alihojiwa katika tume ya kupambana na ufisadi.
.
RELATED VIDEOS