×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wizi Wa Shilingi Milioni 13.9

8th August, 2012

Charles Oteruk Chebon, mfanyikazi wa kampuni ya Wells Fargo amefikishwa kotini hii leo baada ya kushtakiwa kumuibia mwajiri wake shilingi milioni 13.9 hapo jana. Charles alikuwa akisafirisha pesa hizo kutoka Eldoret ili zipelekwe kwenye benki ya afrika tawi la Nairobi,hata hivyo anadai kupokonywa pesa hizo. Mwanahabari Saida Swaleh na taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS