×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Moi awataka viongozi kueneza amani

28th July, 2012

Rais mstaafu Daniel Toroitich arap Moi sasa anawataka viongozi wote nchini kujenga taifa hili bila kuzingatia misingi ya kikabila na pia kusisitiza amani. Alisema kwamba baadhi ya viongozi wanaotembea kote nchini katika ziara zao za mikutano hawazungumzii swala la amani na pia hawajaonyesha ishara za kufanya hivyo huku idadi kuu wakiwa hawana nia yeyote ya kutimiza hatua hio ya amani baina ya wananchi kwote nchini.
.
RELATED VIDEOS