Balozi wa Venezuela auawa
27th July, 2012
Balozi wa nchi ya venezuela humu nchini Ogla Fonseca amepatikana ameuawa nyumbani kwake uliyopo mtaa wa kifahari wa Runda , kulingana na ripoti kutoka eneo hilo ni kuwa ogla alipatikana akiwa amefariki hii leo na inaelekea kuwa huenda alinyongwa , polisi wameanzisha uchunguzi ili kubaini kilichopelekea mauaji hayo