x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Misa ya Wafu ya Maafisa wa Polisi

18, Jun 2012

Baada ya taifa kumzika waziri Prof. George Saitoti na naibu wake Orwa Ojode, leo ilikuwa ni zamu ya maafisa wanne walioaga dunia kufanyiwa ibada takatifu katika kanisa Katoliki la Holy Family Basillica hapa jijini Nairobi. Waziri Mkuu Raila Odinga alikariri kuwa serikali itahakikisha uchunguzi kuhusu ajali hiyo unaharakishwa. Frank Otieno na taarifa hiyo

Feedback