×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanafunzi washiriki mbio kuhamasisha kuhifadhi misitu

13th June, 2012

Msitu wa mlima Kenya sasa utajengewa ua litakaloendeleza uhifadhi wa msitu huo sawia na ua ambalo linatunza msitu wa aberdares kwa sasa. Watoto mia sita kutoka shule 60 zinazopakana na msitu wa Aberdares walihusika kwenye mbio za kupokezana vijiti kama njia mojawapo ya kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuhifadhi misitu. Carol Nderi na taarifa kamili
.
RELATED VIDEOS